Chelsea wamethibitisha kukamilisha uhamisho wa Pedro kutoka Barcelona.

Akizungumza na tovuti ya Chelsea, Pedro amesema: “nimefurahi sana kufika hapa.

Nina hamu kubwa sana ya kuanza kuichezea Chelsea na niko hapa kuendelea kushinda makombe.”

Comments

comments