imgs4775Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akimsalimia Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Msuguri wakati alipokwenda kwenye hospitali ya Jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam kuona wagonjwa baada ya kushiriki sala ya Iddi El Haji kwenye uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es salaam Septemba 12, 2016.

 

imgs4782      imgs4779      imgs4780
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa  na mkewe Mary (kulia)  wakimjulia hali  Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Msuguri wakati walipokwenda kwenye hospitali ya Jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam kuona wagonjwa baada ya kushiriki sala ya Iddi El Haji kwenye uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es salaam Septemba 12, 2016.
imgs4788   imgs4800   imgs4817   imgs4807
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa  na mkewe Mary (kulia)  wakiwajulia hali wagonjwa  wakati walipokwenda kwenye hospitali ya Jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam kuona wagonjwa baada ya kushiriki sala ya Iddi El Haji kwenye uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es salaam Septemba 12, 2016.
Viongozi wa dini watakiwa kutumia nyumba za ibada kuhamasisha amani
Picha: Majaliwa ashiriki Sala ya Iddi El Haji