Tukiwa tumebakiza siku takribani 11 kuikamilisha hesabu ya siku zinazounda mwaka 2016, tujikumbushe baadhi ya matukio ya michezo katika picha yaliyotengeneza mshangao au kuwaacha watu midomo wazi.
Zlatan Ibrahimović alivyomshangaza mpiga picha, akishangilia kuifungia Sweden goli dhidi ya Jamhuri ya reland katika kombe la Ulaya (UEFA Euro-2016)
Meneja wa Leicester City, Claudio Ranieri alipopatwa na mshangao kwenye mkutano na waandishi wa habari
Shabiki wa Burnley akijipa raha baada ya timu yake kuichapa goli Charlton Athletic
Zlatan Ibrahimović
kuusaka ushindi olympic sio mchezo
Miwani ya Kocha Jürgen Klopp iliposhindwa kuvumilia mtikisiko wa uso wakati Liverpool ikiminyana na Leicester City, Ligi Kuu
Manchester United Vs Arsenal, Kocha Van Gaal akaweka historia katika picha
Bondia Dillan Whyte alivyopotezwa.jpg
Mpambe ana nguvu kuliko mwenye mali hii ni bonus ya 2015, Cristiano Ronaldo akisalimiana na Mke wa Lionel Messi, lakini Neymar hana amani