Kikosi cha timu ya Taifa ya Rwanda mapema leo asubuhi kiliondoka mjini Kigali kuelekea Cameroon tayari kwa michuano ya Fainali za Mataifa Bingwa Barani Afrika (CHAN 2021).

Kabla ya kuondoka mjini Kigali, kikosi cha Rwanda kilipiga picha ya pamoja katika ofisi cha Shiriksho la soka nchini huko (FERWAFA) na kusambazwa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii za shirikisho hilo.

Rwanda imepangwa kundi C sambamba na timu za mataifa ya Morocco, Uganda na Togo.


.

Dante kuipeleka Young Africans ‘FIFA’
Waziri: Wadaiwa katika ranchi kukiona