Kukubalika kwa Diamond Platinumz kunaendelea kuivuka mipaka ya Tanzania ambapo ‘die hard fans’ wa nchi ya Kenya wamemuonesha picha halisi ya jinsi walivyokuwa wakitamani kumuona ‘Live’ mwimbaji huyo.
Mashabiki hususan vijana wamempa mapokezi ya kishindo Diamond kilichoiongeza furaha yake huku akisubiri kuwapa show ya nguvu kama kawaida yake.
Baada ya mapokezi hayo, ilifuata show kubwa