FC Bayern Munich wameshinda taji lao la 8 mfululizo la BUNDESLIGA baada ya Ushindi Wa Mchezo Dhidi Ya Werder Bremen Jana Jumanne goli 1-0, goli la mshambuliaji wao hatari kabisa Roberto Lewandowsk.

Matokeo ya michezo mingine ya ligi ya Ujerumani iliyochezwa jana Jumanne.

Sakata La Morrison: Young Africans yabadili kete ya mchezo
PSG yamuwinda David Alaba