Taarifa kwa vyombo vya habari, kumetokea ajali ambapo magari mawili yamegongana na kuua watu nane papo hapo na mmoja kujeruhiwa vibaya, Mkoani Mbeya.

Ni gari aina ya Noah limegongana na basi kampuni ya Gembensabo katika eneo la Igodima nje kidogo ya jiji la Mbeya.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mbeya, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, jijini Mbeya barabara ya Chunya.

Kama picha zinavyoonekana hapo chini.

Mbeya.png

DaVWtpwX0AAlCmu.jpg

Maoni: Makonda anapokutana na akina mama atakiwa kuwa makini
Omba omba, walemavu kutupwa jela