Polisi Jijini Dar es Salaam wanalishikilia lori likiwa limesheheni ng’ombe 15 waliokufa huku wengine wakiwa wameanza kutoa harufu kali katika machinjio ya Tegeta.

Ambapo ng’ombe 15 waliokutwa wamekufa kwenye gari tayari walichunwa kuingizwa sokoni asubuhi ya leo.

Hata hivyo waliokuwa na lori lenye ng’ombe hao wamekimbia na kulitelekeza gari katika Machinjio ya Tegeta kwa ndevu kwenye nyaya za kwenda Zanzibar.

FB_IMG_1526204882608.jpgFB_IMG_1526204879028.jpg

Mama ni Mungu wa duniani, heri ya siku ya kina mama duniani
Magaidi walipua makanisa matatu kwa mpigo

Comments

comments