Kikosi cha Mabingwa wa Kombe la Shirikisho (ASFC) 2021 Simba SC kimeanza safari ya kuelekea Dar es salaam kikitokea mkoani Kigoma kilipocheza mchezo wa Fainali dhidi ya Young Africans jana Jumapili (Julai 25), Uwanja wa Lake Tanganyika.

wakiwa Uwanja wa Ndege wa mkoani Kigoma wachezaji na viongozi wa Simba SC walionekana kuwa na furaha huku wakionesha kombe la ubingwa kwa mashabiki waliojitokeza uwanjani hapo kuwaaga.

Neema yaishukia Lindi, Mtwara na Ruvuma
Mbunge wa Nyamagana apongeza wananchi wa Nyamkanga