Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki akijibu maswali ya Waandishi wa Habari pamoja na kuelezea mafanikio yaliyopatikana kufuatia ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan nchini China na Misri kwenye Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Stergomena Tax akielezea mafanikio yaliyopatikana kufuatia ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan aliyofanya nchini China na Misri kwenye Mkutano uliofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba akielezea mafanikio yaliyopatikana katika ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan aliyofanya nchini China na Misri kwenye Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo akijibu maswali ya Waandishi wa Habari katika Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na Waandishi wa Habari kuelezea mafanikio yaliyopatikana kufuatia ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan nchini China na Misri kwenye Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Novemba 13, 2022 
Tanzania kinara mwongozo Biashara hewa ya ukaa