rg1a0587
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia kwenye kilele cha Maadhiisho ya miaka 55 ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam  kwenye ukumbi wa Nkurumah jijini Dar es salaam Oktoba 25, 2016.
rg1a0567-1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Profesa  Rwekaza Mukandala  (kulia  kwake) kuelekea kwenye ukumbi wa Nkurumah baada ya kuwasili kwenye Chuo Kikuu cha Dar es salaam kuhutubia kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 55 ya Chuo hicho Oktoba 25, 2016. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Ally Happy, kushoto ni Rais wa  Jumuiya ya Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Jaji Joseph Warioba na wapili kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Tekinoloji, Dk. Leonard Akwilapo.
rg1a0681
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwa na makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Profesa Rwekaza Mukandala baada ya kwasili kwenye ukumbi wa Nkurumah chuoni hapo kuhutubia kwenye kilelele cha Maadhimisho ya Miaka 55 ya Chuo hicho Oktoba 25, 2016.
rg1a0629 rg1a0610 rg1a0611 rg1a0617
Baadhi ya waliohudhuria kwenye kilele cha Maadhimisho ya miaka 55 ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia kwenye ukmbi wa Nkuruma jijini Dar es salaam Oktoba 25, 2016.
rg1a0639 rg1a0638
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Kitabu Kiitwacho  From Lumumba  Street to the Hill and Beyond katika kilele cha  Maadhimisho ya Miaka 55 ya Chuo Kikuu cha Dar es salaa baada ya kuhutubia kwenye ukumbi wa Nkurumah jijini Dar es salaam  Oktoba 25, 2016. Katikati ni Makamu Mkuu wa CHuo Kikuu cha Dar es salaam, Profesa Rwekaza Mukandala  na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Dkt Leonard Akwilapo.
rg1a0646
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha  Kitabu Kiitwacho  From Lumumba  Street to the Hill and Beyond baada ya kukizindua katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 55 ya Chuo Kikuu cha Dar es salaa baada ya kuhutubia kwenye ukumbi wa Nkurumah jijini Dar es salaam. Katikati ni Makamu Mkuu wa CHuo Kikuu cha Dar es salaam, Profesa Rwekaza Mukanda  na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Dkt Leonard Akwilapo.
rg1a0690 rg1a0694
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Rais wa Jumuiya wa Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Jaji Joseph Warioba baada ya kuhutubia kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 55 ya chuo hicho kwenye ukumbi wa Nkurumah jijini Dar es salaam Oktoba 25, 2016.
rg1a9933
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam wa zamani, Balozi  Nicholas Kuhanga baada ya kuhutubia  kwenye Maadhimisho ya Miaka 55 ya Chuo hicho kwenye ukumbi wa Nkurumah jijini Dar es salaam Oktoba 25, 2016.
rg1a0738 rg1a0739 rg1a0741
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dae es salaam wa zamani  Profesa Matthew Luhanga  baada ya kuhutubia  kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 55 ya Chuo hicho kwenye ukumbi wa Nkurumah jijini Dar es salaam Oktoba 25, 2016.

Makala: Ali Kiba ajifunze haya kwa Diamond na Diamond afuate haya kwa Kiba
Walioiba gari la Afisa wa JWTZ na mwanae wakiona 'cha mtemakuni'