Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Sheikh Nurdin Kishiki  (kulia) baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Mwembe Yanga , Temeke jijini Dar es salaam Septemba 12, 2016 kushiriki katika Sala ya Iddi Alhaji.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika Sala ya Iddi El Haji kwenye uwanaj wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es salaam Septemba 12, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Sala ya Iddi El Haji iliyofanyika kwenye uwanja wa Mwembe Yanga , Temeke jijini Dar es salaam Septemba 12, 2016.
Baadhi ya Waislam walioshiriki katika Sala ya Iddi Al Haji iliyofanyika kwenye uwanja wa Mwembe Yanga , Temeke jijini Dar es salaam Septemba 12, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika Sala ya Iddi Al Haji iliyofanyika kwenye uwanja wa Mwembe Yanga jijini Dar es salaam Septemba 12, 2016. Kushoto ni Sheikh Nurdin Kishiki na Kulia ni Sheikh Ponda.