IMGS3713

 

IMGS3714 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na watalaam na wajenzi wa Chuo wa Kampasi Mpya ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) eneo la Mloganzila jijini Dar es salaam  Septemba  2, 2016. Kulia ni Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako.

 

IMGS3821Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza taarifa kuhusu  ujenzi wa Kampasi Mpya ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kutoka kwa  Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Ephata Kaaya wakati alipokagua ujenzi huo  eneo la Mloganzila jijini Dar es salaam  Septemba  2, 2016. Kulia  kwake ni Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako.

IMGS3731
IMGS3732
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ufungaji vifaa vya tiba wakati alipotembelea na kukagua ujenzi wa  Chuo wa Kampasi Mpya ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) eneo la Mloganzila jijini Dar es salaam  Septemba  2, 2016. Kushoto  kwake ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa, Ephata Kaaya.
IMGS3817
IMGS3821
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akitaza mashine ya CT Scanner wakati alipotembelea na kukagua ujenzi wa  Kampasi Mpya ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) eneo la Mloganzila jijini Dar es salaam  Septemba  2, 2016.
IMGS3882
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua jiko wakati alipolea eneo ilipojengwa  Kampasi Mpya ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) eneo la Mloganzila jijini Dar es salaam  Septemba  2, 2016. Watatu kushoto  ni Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako na kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Ephata Kaaya.
IMGS3962
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi na wananchi baada ya kukagua ujenzi wa  Kampasi Mpya ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) eneo la Mloganzila jijini Dar es salaam  Septemba  2, 2016.
IMGS3967
IMGS3970
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiondoka baada ya kutembelea na kukagua ujenzi wa  Kampasi Mpya ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) eneo la Mloganzila jijini Dar es salaam  Septemba  2, 2016. Kulia kwake  ni Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako na kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Humphrey Polepole.
JWTZ Yalionya gazeti la Tanzania Daima kwa lilichoandika Septemba 1
Wizara ya Elimu yatakiwa kuandaa wataalamu wakutosha