Wachezaji wa mpira wa wavu wa Tanzania (jezi ya bluu) na wachezaji wa mpira wa wavu wa Kenya (nyeupe) wakichuana ikiwa ni Muendelezo wa  Mashindano ya Nane ya Mabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyoanza jana katika uwanja wa Taifa Mjini Dar es Salaam, Tanzania

Wachezaji wa mpira wa wavu wa Tanzania (jezi ya bluu) na wachezaji wa Kenya (nyeupe) wakijiandaa kwa ajili ya kuanza mchezo baina yao uliofanyika leo katika uwanja wa ndani wa Taifa, Tanzania  ikiwa ni Muendelezo wa  Mashindano ya Nane ya Mabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyoanza jana katika uwanja wa Taifa Mjini Dar es Salaam, Tanzania

Wachezaji wa Timu ya mpira wa wavu wa Tanzania wakijadiliana wakati wa mapumziko wakati wa mchezo baina yao na kenya katika Muendelezo wa  Mashindano ya Nane ya Mabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyoanza jana katika uwanja wa Taifa Mjini Dar es Salaam, Tanzania

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)​

Picha: Kili Stars wakijiandaa dhidi ya Zanzibar Heroes
Azam FC kucheza michezo minne ya kirafiki