Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Charles Mbuge  amefanya ziara kuangalia maendeleo ya mradi wa mfereji wa kupeleka maji  unaojengwa katika skimu ya umwagiliaji ya Chita JKT kikosi 837 Chita JKT.

Mfereji huo unaopita chini ya reli ambao unapeleka maji katika  mashamba ya mpunga upo Ifakara Mkoani Morogoro.

Ujenzi wa miundombinu ya skimu hiyo umefikia asilimia 45 na unategemewa kukamilika Mei 2021.

Mlinzi aliyepiga hospitalini aondolewa
Mitandao yaipatia Serikali Bil 80 kwa Mwezi