Serengeti Boys wakiendelea na mazoezi uwanja wa karume kujiandaa na mechi ya Juni 26 uwanja wa Taifa dhidi ya Ushelisheli kuwania kufuzu fainali za afrika za vijana chini ya miaka 17 zitakazofanyika mwakani nchini Madagascar.
Ndoa Ya Telela Na Young Africans Yafikia Tamati
Carlos Dunga Atupiwa Virago