Kufuatia kifo cha Rashid Mkwachu ambaye ni Baba mzazi wa mke wa Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete, mama Salma Kikwete kilichotokea Julai 19, 2018 katika hospitali ya Muhimbili na kuzikwa jana Ijumaa ya tarehe 20, Julai 2018 na leo Julai 21, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Joseph Pombe Magufuli akiwa na mke wake, mama Janeth Magufuli amefika Msasani jijini Dar es salaam yaliko makazi ya wafiwa hao kutoa salamu za pole kama picha zinavyoonekana hapa chini.

 

 

"Achaneni na mbwa aliyepotea" - Lugola
Madereva, wamiliki magari wote kuswekwa mahabusu

Comments

comments