Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi na ameanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Kenya kwa mwaliko wa Rais wa Kenya, Uhuru Muigai Kenyatta.

Taarifa kutoka Shirikisho la soka Afrika ‘CAF’
Mahakama yamwachia huru aliyekuwa mgombea Ubunge Bukoba mjini