Leo Agosti 3, 2018 Jokate Mwagelo aliyeteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ameapishwa rasmi kuanza kazi ya kuwatumikia wananchi wa Kisarawe.

Jokate ameapa kuwatumikia wananchi hao pamoja na kulinda, kuitetea katiba ya nchi.

Mbali na Jokate pia Mkuu wa Mkoa wa Pwani aliyeteuliwa, Mhandisi Evarist Ndikilo naye ameapishwa katika hafla hiyo fupi iliyofanyika wilayani humo.

Tazama picha hapa chini.

Makocha wa timu za vijana Argentina wamrithi Sampaoli
Fahamu sababu 5 za kuchukua likizo kazini