Timu ya Taifa ya Soka kwa Walemavu, Tembo Warriors jana Septemba 29, 2022 iliendelea na maandalizi ikiwa katika kambi maalum nchini Uturuki waliyoandaliwa na Serikali kupitia Wizara ya Michezo kabla ya Oktoba Mosi kuanza mchezo wao wa kwanza wa Fainali za Kombe la Dunia dhidi ya Hispania mjini Pendik.

Fainali hizo zinatarajiwa kufunguliwa leo Septemba 30, 2022 ambapo mechi ya ufunguzi itakuwa kati ya Uturuki na Ufaransa.

Magari yagongana na kuwaka moto, kuna vifo na majeruhi
Chama aiwahi Dodoma Jiji FC