Malkia Elizabeth wa Uingereza, amemkabidhi rasmi Theresa May majukumu mawili makubwa ya nchi hiyo ya kuwa Waziri Mkuu na Muidhinishaji Mkuu wa fedha za nchi hizo.

Theresa anakuwa mwanamke wa pili katika historia ya nchi hiyo kushika wadhifa wa Waziri Mkuu baada ya Margaret Thatcher aliyeacha historia kubwa ya utawala wake.

Waziri Mkuu huyo mpya amechukua hiyo baada ya David Cameron kujiuzulu nafasi hiyo wiki chache zilizopita baada ya Uingereza kupiga kura ya kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya.

LONDON, UNITED KINGDOM - JULY 13: Theresa May and her husband Philip arrive at Buckingham Palace for an audience with Queen Elizabeth II where the former Home Secretary was invited to become Prime Minister and form a new government on July 13, 2016 in London, United Kingdom. Former Home Secretary Theresa May becomes the UK's second female Prime Minister after she was selected unopposed by Conservative MPs to be their new party leader. She is currently MP for Maidenhead. (Photo by Steve Parsons - WPA Pool/Getty Images)

Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May na mumewe Philip wakiwasili kwa Malkia Elizabeth.

Tayari ameshaunda Baraza la Mawaziri wake ambao wameanza kuelezea vipaumbele vyao tangu jana.

Theresa May akikaribishwa katika ofisi yake mpya na wafanyakazi wa ofisi hiyo

LONDON, UNITED KINGDOM - JULY 13:  New Prime Minister Theresa May, followed by her husband Philip John, is welcomed by staff as she walks into 10 Downing Street after meeting Queen Elizabeth II and accepting her invitation to become Prime Minister and form a new government on July 13, 2016 in London, United Kingdom. Former Home Secretary Theresa May becomes the UK's second female Prime Minister after she was selected unopposed by Conservative MPs to be their new party leader. She is currently MP for Maidenhead. (Photo by Stefan Rousseau - WPA Pool/Getty Images)

Theresa May na Mumewe wakikaribishwa katika Makazi yake mapya ya 10 Downing Street 

 

 

Hassan Isihaka Atimkia Kwa Wamakonde
Serikali Kukusanya Bilioni 200 Kiwanda cha Nondo