Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu – Zanzibar.

Uongozi huo unaongozwa na  Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Liberata Mulamula (Mb), Naibu Waziri, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb), Katibu Mkuu, Balozi Joseph Sokoine pamoja na Naibu Katibu Mkuu, Balozi Fatma Mohammed Rajab katika ziara rasmi ya kujitambulisha kwa Viongozi Waandamizi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.  

RC Makala: Chanjo ya 'CORONA' ni salama
Katibu wa Wizara apewa maagizo haya