Habari Picha, Kumetokea mtafaruko mahakamani jijini Dar es salaam, ambapo wafuasi wa Chama Cha Wananchi CUF wanaomuunga mkono Maalim Seif na wafuasi wa CUF wanaomuunga mkono Profesa Lipumba wamepigana wakiwa mahakamani leo.

[​IMG]

[​IMG]

[​IMG]

Washikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za ujambazi
TFF yaipangua ratiba ya Ligi daraja la kwanza 2017/18