Waziri Mkuu, Â Kassim Majaliwa akisalimiana Septemba 4, 2016 Â na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ajili ya vikao vya Bunge vinavyotarajiwa kuanza Septemba 6, 2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Lugimbana  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Septemba 4, 2016 kwa ajili ya vikao vya Bunge vinavyotarajiwa kuanza Septemba 6, 2016.