imgs6038Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mafia kwa ziara ya kikazi wilayani humo Septemba 23, 2016.

 

imgs6049Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Pwani baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mafia  kwa ziara ya kikazi Septemba 23, 2016.

imgs6061
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika sala ya Ijumaa kwenye Msikiti Mkuu wa Mafia akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Pwani Septemba 23, 2016.
imgs6066
imgs6065
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka kwenye Msikiti Mkuu wa Mafia baada ya kushiriki  sala ya Ijumaa akiwa katika siku ya kwanza ya ziara  ya mkoa wa Pwani Septemba 23, 2016.
Ligi Daraja La Kwanza Msimu Wa 2016/17 Yaanza
Picha: Meya apigwa na chakula usoni akihutubia, 'ampasua' mshambuliaji

Comments

comments