Waziri mkuu Kassimu Majaliwa ametembea mradi wa maji wa Kisarawe mjini akiwa katika ziara ya siku tatu Mkoani Pwani.

Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua tangi la Maji wakati alipotembelea Mradi wa Maji wa Kisarawe Mjini 

Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka Afisa Mtendaji  Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Cyprian  Luhemeja kuhusu Mradi wa Maji wa Kisarawe mjini, Kushoto  ni  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira na Mbunge wa Kisarawe, Selemani Jafo.

Changamoto ya Umeme yapata suluhisho
PICHA: Young Africans yaifuata Ihefu FC Mbarari