IMGS4197

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia  kwake ) wakikagua ujenzi wa makazi yake mapya kwenye kilima cha Mlimwa mjini Dodoma Septemba 7, 2016.

 

 

IMGS4169 IMGS4175 IMGS4177

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa na Mkewe Mary (kushoto)  wakipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama kuhusu ujenzi wa makazi mapya ya Waziri Mkuu, kwenye kilima cha Mlimwa mjini Dodoma Septemba 7, 2016.

 

IMGS4187 IMGS4188 IMGS4189

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia  kwake ) wakikagua ujenzi wa makazi mapya ya Waziri Mkuu kwenye kilima cha Mlimwa mjini Dodoma Septemba 7, 2016.

 

 

IMGS4206

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Badhi ya Mawaziri na viongozi wa mkoa wa Dodoma baada ya kukagua ujenzi wa makazi mapya ya Waziri Mkuu kwenye kilima cha Mlimwa mjini Dodoma Septemba 7,2016. Katikati ni mkewe Mary.

Australia yatwaa ubingwa mpira wa magongo kimataifa
Kampuni ya Apple yatoa tolewa jipya iphone 7