IMGS3200

IMGS3204​Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais na Ofisa mtendaji Mkuu wa kampuni ya Sumitomo Corporation ya Japan, Bw. Kunihuru Nakamura  katika Mkutano wa TICAD 6 uliofanyika Nairobi Kenya, Agosti 28, 2016.

IMGS3206
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais na Ofisa mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Sumimoto Corporation ya Japan katika mkutano wa TICAD 6 uliofanyika jijini Nairobi Agosti 28,2016.
IMGS3215
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Sumimoto ya Japan, Bw. Kanihuru Nakamura  (kushoto kwake) baada ya mazungumzo yao jijini Nairobi Agosti 28, 2016. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Profesa James Mdoe na Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt.Adelhelm Meru.  Wanne kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Japan, Mathias Chikawe.
IMGS3355
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Balozi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia  Masuala ya Wakimbizi, Fillipo Grand kabla ya mazungumzo yao jijini Nairobi, Agosti  28, 2016.
IMGS3413
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa kitabu chenye picha ramani na taarifa za jiji la Yokohama nchini Japan na Meya wa jiji hilo, Bi. Fumiko Hayashi baada ya mazungumzo yao jijini Nairobi Agosti 28, 2016.
IMGS3425 (1)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  na Meya wa jiji la Yokohama nchini Japan , Bi. Fumiko Hayashi baada ya mazungumzo yao jijini Nairobi Agosti 28, 2016.
IMGS3431
IMGS3432
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa TANTRADE, Bw. Edwin Rutageruka (kushoto) wakati alipotembelea banda la Tanzania katika maonyesho yaliyokwenda sambamba na mkutano wa TICAD 6 jijini Nairobi Agosti 28, 2016.
IMGS3446
IMGS3450
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimsikiliza , Bw. Lameck Borega (kushoto) ambaye ni Meneja wa Uwekezaji kutoka EPZA, Mabibo jijini Dar es salaam wakati alipotembelea banda la Tanzania katika maonyesho yaliyokwenda sambamba na mkutano wa TICAD 6 jijini Nairobi Agosti 28, 2016.
IMGS3458
IMGS3460
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama pipili iliyosindikwa na kupewa jina la AKABANGA wakati alipotembelea banda la Rwanda katika  maonyesho yaliyokwenda sambamba na mkutano wa TICAD 6 jijini Nairobi Agosti 28, 2016.
IMGS3474
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na washiriki wa maonyesho kutoka Senegal wakati alipotembelea bada lao kwenye  maonyesho yaliyokwenda sambamba na mkutano wa TICAD 6 jijini Nairobi Agosti 28, 2016.
IMGS3460
IMGS3486
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitazama nguo za batik wakati alipotembelea banda la Tanzania kwenye   maonyesho yaliyokwenda sambamba na mkutano wa TICAD 6 jijini Nairobi Agosti 28, 2016.

Bodi Ya Filamu Kuendeleza Ushirikiano Na Wadau
Majaliwa akaribisha wawekezaji kutoka nje