IMGS2254 IMGS2256

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa wodi katika zahanati ya Inyonga wilayani Mlele amabayo inatarajiwa kupandishwa hadhi na kuwa hospitali ya wilaya . Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Katavi Agosti22, 2016.

 

IMGS2307
Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa kisalimiana na viongozi wa wilaya  ya Mlele wakati alpowasili kwenye uwanja  wa Shule ya Msingi Inyonga kuhutubia mkutano wa hadhara Agosti 22,2016.
IMGS2318
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakimsikiliza Chifu Kayamba wa Pili  (kulia) wakati  Waziri Mkuu alipotwazwa kuwa Chief wa Wakonongo na kupewa jina la Kayamba wa Kwanza katika mkutano uliofanyika  kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Inyonga wialyani Mlele Agosti 22, 2016..
IMGS2338 IMGS2348 IMGS2337
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiwapungia wananchi wa Inyonga baada ya waziri Mkuu kutawazwa kuwa Chief wa Wakonongo na kupewa jina  la Chief Kayamba wa Kwanza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Inyonga Agosti 22, 2016. Kulia  ni Cheif wa Wakonongo, Kayamba wa Pili.
IMGS2378
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji ambaye pia ni Mbunge wa Katavi, Mhandisi Isaack Kamwelwe katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye uwanja wa shule ya msingi ya Inyonga wilayani Mlelele Agosti 22, 2016.
IMGS2409
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Inyonga  wilayani Mlele Agosti 22, 2016.

UVCCM watangaza kufanya maandamano nchi nzima Agosti 31
Waliopewa uraia na kuutumia vibaya kunyang’anywa na kurudishwa walikotoka