IMGS2814
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiwapungia wananchi wa Kijiji cha Mtowisa  baada ya kuwasili kijijini hapo wakiwa katika ziara ya mkoa wa Rukwa Agosti 24, 2016.
IMGS2838
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakifurahia ngoma ya asili ya kabila la Wafipa wakati walipowasili kwenye kijiji cha Mtowisa mkoani Rukwa kuzungumza na wanachi Agosti 24, 2016.
IMGS2968
IMGS2972
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga Agosti 24, 2016.
IMGS2826
Wananchi wa kijiji cha Mtowisa mkoani Rukwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo Agosti 24, 2016.
IMGS2886
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la Mradi wa Maji  na Usafi wa Mazingira mjini Sumbawanga Agosti 24, 2016.  Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Zelote Stephene na wapili kulia ni Naibu wa maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isaack Kamwelwe.
Zitto Kabwe afunguka yake kuhusu Oparesheni UKUTA
Rais Magufuli ateua Kaimu Mkurugenzi NIDA