IMGS2680Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Sabasaba mjini  Nkansi akiwa katika ziara ya mkoa wa Rukwa, Agosti 23, 2016.

IMGS2631
Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akikagua vitanda katika wodi mpya ya Hospitali Teule ya Wilaya ya Nkansi baada ya kuizindua akiwa kataika ziara ya mkoa wa Rukwa Agosti 23, 2016 gratis norsk. Kushoto kwake ni mkewe Mary na wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Zelote Stephene.
IMGS2643
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka kwenye Hospitali  Teule ya wilaya ya Nkansi baada ya kufungua wodi akiwa katika ziara ya mkoa wa Rukwa Agosti 23, 2016.
IMGS2756
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri na  mkoa wa Rukwa kwenye ukumbi wa St. Maurus  mjini Sumbawanga Agosti23, 2016.
IMGS2771
Baadhi ya watumishi wa  Halmashauri  na  mkoa wa Rukwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa St Maurus  mjini Sumbawanga Agosti 23, 2016.Mkuu)
Video: Makonda apokea vifaa vya usafi vyenye thamani ya milioni 10 kutoka AAR Isurance
Video: Makonda apokea vifaa vya usafi vyenye thamani ya milioni 10 kutoka AAR