IMGS2045

IMGS2046

IMGS2049Wasanii wa kijiji cha Katumba wilayani Mpanda wakicheza ngoma ya Kasimbo  wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo akiwa katika ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016.

 

IMGS2058Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary  (kulia kwake) wakiwapungia  wananchi wa Mpanda wakati  walipowasili kwenye uwanja wa Kashaulili mjini Mpanda kuhutubia mkutano wa hadhara Agosti21, 2016.

 

IMGS2063

IMGS2067Wananchi wakionyesha mabango wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowasili kwenye uwanja wa Kashaulili  mjini Mpanda kuhutubia mkutano wa hadhara  Agosti 21, 2016.  Katika hotuba yake Waziri Mkuu alizitolea majibu kero zote zilizoandikwa  kwenye  mabango hayo akiwahusisha watendaji wa Halmashauri, mkoa na wilaya.

 

IMGS2088Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akiwasalimia wananchi wa Mpanda wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipohutubia mkutano wa hadahara kwenye uwanja wa Kashaulili mjini Mpanda Agosti 21, 2016 casual dating norge. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Katavi, Meja Jenerali Mstaafu, Raphael Mbuga.

Mbowe: Tutawaeleza wanachama kusitisha mikutano ya Septemba 1…
Hospitali ya Manispaa Mpanda Kuboreshwa