Mtayarishaji wa muziki Tanzania, Pancho Latino (Mafia), amefariki kwa ajali ya kuzama kwenye maji

Mtayarishaji huyo maarufu wa Bongo Fleva ambaye alifanya kazi kwenye studio mbalimbali ikiwemo studio ya Dully Sykes na Hermy B za B Hit’z amefariki jioni ya leo Oktoba 9, 2018 kwenye kisiwa cha Mbudya jijini Dar es Salaam.

Endelea kuwa nasi taarifa zaidi zitafuata.

 

Habari kubwa katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 10, 2018
Kim-Joung-un amwalika Papa

Comments

comments