Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anashiriki Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani, lilioandaliwa na Baraza la Wanawake wa CHADEMA – BAWACHA, katika Ukumbi wa Kuringe uliopo Mkoa wa Kilimanjaro akiwa ni mgeni rasmi.

Kongamano hilo, linafanyika hii leo tarehe 08 Machi, 2023 na limehudhuriwa pia na Viongozi mbalimbali wa Serikali, akiwemo Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima, Viongozi wa Dini na Wanachama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Zuifuatazo ni piacha za matukio mbalimbali wakati wa Kongamano hilo.

Balozi Mbarouk nje ya Mkutano LDCs Qatar
Ahmed Ally: Tunazungumzwa kama tumefungwa