Leo Julai 11, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi, na kumteua Casmir Sumba Kyuki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja (UTT AMIS) iliyo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango.

 

Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Julai 12, 2018
Mbunge aongoza maandamano ya kupinga kodi ya mtandaoni Uganda

Comments

comments