Leo Machi 19, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya uteuzi mwingine na kumteua Hassan Abeid Mwang’ombe kuwa Postamasta mkuu.

Kabla ya uteuzi huo, Mwang’ombe alikuwa akikaimu nafasi hiyo.

Taarifa juu ya uteuzi huu imetolewa na Katibu Mkuu kiongozi, Balozi John Kijazi.

 

Makonda agharamia matibabu ya Pascal wa BSS India
Tanzania yatoa msaada Msumbiji, Malawi na Zimbabwe

Comments

comments