Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Joseph Pombe Magufuli amefanya uteuzi na kumteua Dkt Dalmas Lucas Nyaoro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS).

Nyaoro amechukua nafasi ya Bi. Hawa Magogo Mmanga ambaye amemaliza muda wake.

 

 

 

Baada ya kustaafu John Terry kumsaidia Dan Smith
Video: A - Z Makonda asimulia Mo Dewji alivyotekwa

Comments

comments