Leo Agosti 21, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Rais wa shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA), Shinichi Kitaoka na kufanya mazungumzo naye leo Ikulu jijini Dar es salaam.

j1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo  na  Rais wa shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA), Shinichi Kitaoka aliyekutana na kufanya mazungumzo naye leo agosti 21, 2017 Ikulu jijini Dar es salaam.

j3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo  na Rais wa shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA), Shinichi Kitaoka (kushoto) na Balozi wa Japan nchini, Masaharu Yoshida leo agosti 21, 2017 Ikulu jijini Dar es salaam.

j5

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Joseph Nyamhanga na Mtendaji Mkuu wa Tanroads Mhandisi Patrick Mfugale kwa Rais wa shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA), Shinichi Kitaoka aliyekutana naye leo agosti 21, 2017 Ikulu jijini Dar es salaam

Dkt. Shein afuta kero ya barabara Kijitoupele, awafungukia waliombeza
Arsenal Wambembeleza Chamberlain, Chelsea Wamtengea Pauni Milioni 40