Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametembelea bustani za mbogamboga zilizokuwa zikilimwa na Marehemu Dada yake Monica Magufuli katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.

Marekani yapata pigo kubwa
Coastal Union yawakosha wakazi wa Jiji la Tanga