Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ameahirisha Sherehe za Mashujaa zilizotarajiwa kufanyika Julai 25, 2020 Jijini Dodoma.

Amewataka wananchi kuwaombea na kuwakumbuka mashujaa wa Tanzania wakiwemo wale waliotoa mchango mkubwa katika ngazi mbalimbali ikiwemo familia.

Kuelekea siku hiyo, Rais Magufuli ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kudumisha amani, upendo na mshikamano

Kubenea ahamia ACT - Wazalendo
Shule kuchomwa: RC Songwe atoa adhabu kali kwa wanafunzi, wazazi, walimu