Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Eliud Sanga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (Public Service Social Security Fund – PSSSF).

 

Kabla ya Uteuzi huo Sanga alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pension wa LAPF. Uteuzi wake umeanza rasmi Julai 21, 2018.

Majaliwa, Lee Nak-yon wafanya mazungumzo ya kiserikali
Video: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea awasili nchini kwa ziara ya kikazi

Comments

comments