Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa mwenyekiti wa bodi ya mfuko wa barabara, Dk. James Wanyancha.

Akitoa taarifa hiyo leo julai 28 2016, Katibu mkuu kiongozi amasema Rais ametengua uteuzi huo leo na kumteuwa Joseph Odo Haule kuwa Mwenyekiti mpya wa bodi hiyo kuwanzia leo huku wengine wakiendelea na nafasi zao.

Joseph Haule alikuwa meneja wa Mfuko wa Barabara.

CCM yajibu mashambulizi ya operesheni UKUTA ya Chadema
Video: Papa Francis aanguka ghafla akiongoza Ibada