Rais Magufuli amemteua Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala, kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani akichukua nafasi ya Juma Njwayo ambaye nafasi yake imetenguliwa.

Habari kubwa kwenye magazeti leo, Julai 31, 2020
JPM: Wizara ya ujenzi ina udhaifu