Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa Makatibu wakuu katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Aidha uteuzi huo umeanza leo Julai 30, 2021.

Jakaya Kikwete mwenyekiti mpya GPE
Johora kulinda milingoti mitatu Young Africans