Taarifa iliyotolewa kupitia kurasa za mitandao ya kijamii ya Ikulu ya Zanzibar leo Januari 1, 2021 imeeleza kuwa kesho Jumamosi tarehe 02/01/2021 saa 05:00 asubuhi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi atamuapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi.

Wanakijiji wa Mgazini waomba barabara
Habari kubwa kwenye magazeti leo, Januari 1, 2021.