Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amezungumza kwa njia ya mtandao na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (African Development Bank Group – AfDB) Dkt. Akinwumi A. Adesina leo tarehe 13 Novemba, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais Samia afanya uteuzi
Jafo atoa maagizo kwa wakuu wa Mikoa,Wilaya,Halmashauri