Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wawili, ambao ni Yona Killagane kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika COASCO na Mathew Modest Kirama kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma PSG.

Gharama za Ujenzi ofisi za TANESCO zamshtua Waziri Mkuu
Habari Picha:Rais Mwinyi akutana na mabalozi walioteuliwa