Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Penina Oniviel Muhando kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)

Prof. Muhando amechukua nafasi ya Prof. Mayunga Habibu Hemedi Nkunya ambaye alifariki dunia Julai 20, 2021.

Amani yatawala Young Africans
Simba SC waitana kwa Mkapa Jumapili