Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika nafasi 10 za Rais

Stergomena amewahi kuwa Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) ambaye alimaliza muda wake Agosti 2021.

Waitara atoa maagizo kwa TANROADS
Washindi wa EJAT kutangazwa leo