Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefungua Mkutano wa 27 wa Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki (East Africa Law Society), uliofanyika Jijini Arusha hii leo Novemba 24, 2022.

Mara baada ya ufunguzi huo, Rais Samia alipata kumbukumbu ya picha na viongozi mbalimbali wa Serikali wakiwemo wajumbe Wajumbe wa Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki (East Africa Law Society).

Rais Samia Suluhu Hassan katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali na Wajumbe wa Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki (East Africa Law Society) mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa 27 wa Chama Jijini Arusha.
Wajumbe wa Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki (EALS), wakiwa katika Mkutano wa 27 wa Chama uliofanyika Jijini Arusha hii leo Novemba, 24 2022.
Wajumbe wa Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki EALS, wakiwa kwenye Mkutano wa 27 wa Chama hicho uliofanyika Jijini Arusha.
Bweni lawaka moto, Wanafunzi watatu wafariki
Lionel Messi: Tulizidiwa, tusilete visingizio